NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATOA TAARIFA YA MAADHIMISHO YA WIKI YA CHANJO KWA WAANDISHI WA HABARI.

Wizara ya Afya Zanzibar kupitia Mradi Shirikishi Afya ya Uzazi na Mtoto, Kitengo cha Chanjo kuanzia kesho itaungana na nchi nyengine duniani kuadhimisha wiki ya chanjo Afrika itakayoishia tarehe 30 mwezi huu. Akitoa taarifa ya maadhimisho ya ¬†wiki ya chanjo… Read moreNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATOA TAARIFA YA MAADHIMISHO YA WIKI YA CHANJO KWA WAANDISHI WA HABARI.