ZANZIBAR YAPATIWA MSAADA WA MASHINE 17 ZA KUSAFISHIA FIGO

Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Ahmad Saleh Ghamdi akimkabidhi Waziri wa Afya Hamad Rashid Muhamed mashine za kusafishia Figo katika sherehe zilizofanyika Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Serikali ya Saudi Arabia imetoa msaada wa mashine 17 za kusafishia Figo (Dialysis Machines) kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar […]

Loading

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe 7/5/2020

Mwenendo wa ugonjwa wa #COVID19 Zanzibar leo tarehe 7/5/2020 Idadi ya visa vipya 29, yaongezeka kutoka 105 kufikia 134. #COVID19ZNZ #TokomezaCorona

Kwa maelezo zaidi angalia ripoti yetu ya leo katika kurasa yetu ya Covid_19 pamoja na kurasa zetu za Facebook na Twitter.

Jikinge Wakinge na Wengine