TIMU YA MADAKTARI KUTOKA CUBA NA ZANZIBAR KUTOA TAARIFA YA TAFITI ZAO HUKO KATIKA SKULI YA AFYA MBWENI

Timu ya Madaktari kutoka CUBA na Zanzibar waliowasilisha  tafiti mbali mbali za maradhi wakiwa na Viongozi wa Serikali ya Zanzibar (aliyekaa  katikati ) , Waziri wa Afya  Hamad  Rashid(  kushoto) Waziri wa Elimu Riziki Pembe Juma  na Balozi wa CUBA  Profesa Lucas Domingo  huko Skuli ya Afya Mbweni Zanzibar Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed imesema […]

Loading

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe 7/5/2020

Mwenendo wa ugonjwa wa #COVID19 Zanzibar leo tarehe 7/5/2020 Idadi ya visa vipya 29, yaongezeka kutoka 105 kufikia 134. #COVID19ZNZ #TokomezaCorona

Kwa maelezo zaidi angalia ripoti yetu ya leo katika kurasa yetu ya Covid_19 pamoja na kurasa zetu za Facebook na Twitter.

Jikinge Wakinge na Wengine