MAAFISA WA ZFDA WAFANYA UKAGUZI WA MAENEO YA KUUZIA MAZIWA

Maafisa ukaguzi kutoka Wakala wa Chakula na Vipodozi Zanzibar wakifanya ukaguzi baada ya kutoa tangazo kwa wauza maziwa kuacha kutumia madumu na chupa za plastika kuhifadhia maziwa tangazo ambalo halijatekelezwa Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imeanza ukaguzi wa wauza maziwa wasiofuata utaratibu unaokubaliwa ikiwemo sehemu zisizo rasmi ili kulinda afya za wananchi. Mkurugenzi […]

Loading

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe 7/5/2020

Mwenendo wa ugonjwa wa #COVID19 Zanzibar leo tarehe 7/5/2020 Idadi ya visa vipya 29, yaongezeka kutoka 105 kufikia 134. #COVID19ZNZ #TokomezaCorona

Kwa maelezo zaidi angalia ripoti yetu ya leo katika kurasa yetu ya Covid_19 pamoja na kurasa zetu za Facebook na Twitter.

Jikinge Wakinge na Wengine