MKURUGENZI TIBA WIZARA YA AFYA AZINDUA MRADI WA KUIONGEZEA THAMANI TIBA ASILI

Mkurugenzi Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salim Ali akizungumza machache na kuwakaribisha wajumbe katika uzinduzi wa mradi wa kuongezea thamani tiba asili, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mkutano Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar (ZAHRI) imetakiwa kuendeleza kufanya utafiti wa dawa za asili ili zitumike kwa usahihi katika […]

SEKTA YA AFYA KUIMARISHWA ZANZIBAR

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahemd Mazrui akizungumza na Wajumbe kutoka shirika la Italian Agency Development Cooperation mara walipofika Ofisini kwake huko Mnazimmoja Mjini Unguja kwaajili ya ziara yenye lengo la kutathmini namna bora ya kusaidia uimarishwaji wa huduma za Afya Zanzibar . Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, […]

Ifahamu Homa ya Ini (Hepatitis)

Kuelekea siku ya #SikuYaHomaYaIniDuniani #WorldHepatitisDay ambayo huazimishwa kila ifikapo tarehe 28/7 ya kila mwaka nimeona ipo haja ya kushea na nyinyi kwa ufupi kuhusu homa ya nini. Nini Homa ya Ini? Homa ya ini ni uvimbe wa ini unaohusishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini. Hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi (kovu) na ugonjwa sugu wa ini. Homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au […]

How to setup your business website quickly?

Lorem ipsum dolor sit amet, nostrud neglegentur ut sea. Eum dicat timeam ex. Ut dico solet imperdiet ius, per dicta malorum temporibus no. Mei id veniam mollis, convenire definiebas vim at, id clita tempor causae pro. Mea consul tempor repudiare an, senserit comprehensam in sed. Nec et illud prompta mediocritatem, mea quem nisl ut, ne […]

Launching SoftPoint, a free WordPress theme!

Loading