MUFTI WA ZANZIBAR AWAONGOZA VIONGOZI WA DINI KUPATA CHANJO YA UVIKO 19
Viongozi wa dini mbalimbali nchini leo wamechanja chanjo ya Uviko 19 aina ya Jansno Janson ili kujikinga na maradhi hayo. Akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Mnazimmoja mara baada yakumaliza zoezi la chanjo hiyo Mufti wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi amesema kuwa wameaamua kufanya hivyo ili kuitikia wito wa Serikali ya Mapinduzi […]
