WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA UJUMBE WA UN

Mwakilishi Mkaazi Wa Shirika La Afya Duniani (Who) Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay akiukaribisha ujumbewa wa UN kwa Waziri wa Afya Zanzibar walipofika Ofisini kwake pamoja na kutoa maelezo kuhusu juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya Zanzibar. Mashirika ya kimataifa un, who na unicef yameeleza kuridhishwa na huduma bora za afya zinazotolewa na […]

Waziri wa Afya akataza kuomba michango kwa ajili ya Wagonjwa

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo Pichani) kuhusu kukataza kuomba michango kwa ajili ya Wagojwa, huko  Hospitali ya Mnazi Mmoja Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea kutekeleza sera kwa kuhakikisha wananchi wanapatiwa matibabu bure pamoja na kuwasafirisha  Wagonjwa nje ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa  Afya Hamad Rashid […]

ZANZIBAR KUZINDUA ZOEZI LA KUPIGA DAWA YA MALARIA MAJUMBANI TAREHE 15 MWEZI HUU.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Dk. Fadhil Abdalla akielezea mauzui ya upiga dawa majumbani katika Mkutano wa Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman na wandishi wa habari uliofanyika Ofisi za malaria Mwanakwerekwe Wizara ya Afya Zanzibar itazindua zoezi la siku kumi la kupiga dawa ya majumbani ya kuulia viluilui vya Malaria tarehe 13 […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AFANYA ZIARA KITENGO CHA MARADHI YA MOYO HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya ziara maalum  katika kitengo cha Watoto wanaosumbuliwa na maradhi ya Moyo  Hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar.  Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar inatarajia kujenga Taasisi ya Kitengo cha Maradhi  ya Moyo kata kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati ili kupunguza gharama za matibabu […]

Loading