Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya Ugonjwa wa Corona na kuepuka mikusanyiko. Kuanzia leo tarehe 13/4/2020 mikutano ya waandishi wa habari na shuhuli nyengine zitakazowafanya waandishi wa habari kukusanyika zinasitishwa. Hivyo basi, taarifa za Waziri wa Afya Zanzibar kuhusina na ugonjwa wa virusi vya Corona zitatolewa kwa njia ya “Press Release” kurusha moja kwa […]

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR APOKEA VIFAA MBALI MBALI VYA AFYA KUTOKA KWA MFANYA BIASHARA SAID NASSIR NASOR (BOPER)

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed (kulia)akikabidhiwa Vifaa mbalimbali  na Mfanya Biashara Said Nassir Nasor (BOPER)kusaidia wenye maradhi mbalimbali ikiwa pamoja na Korona miongoni mwa Vifaa hivyo ni Vitanda ,Mashuka Sabuni za Kunawa mikono , Viti vya Walemavi na Dawa mbalimbali hapo Wizara ya Afya Zanzibar Wizara ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa  vifaa mbali […]

ZFDA YAFUNGIA KIWANDA CHA KUZALISHA SANITIZER FEKI KIEMBESAMAKI

Mkuu wa Kitengo cha Vipodozi wa ZFDA Salim Hamad Kassim akiwaonyesha waandishi wa habari Dawa ya Kuoshea Mikono (SANITAIZER) ambayo haina Kiwango iliyotengenezwa na Kiwanda cha Oil Cam kilichopo Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi ‘B’ Unguja. Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imekifunga kiwanda cha kutengeneza dawa za kukosha mikono (SANITIZER) baada ya kubainika dawa […]

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AWATAKA WANANCHI KUCHUKUWA TAHADHARI ZAIDI KUKABILIANA NA MARADHI YA CORONA

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akiwa na Msaidizi Meneja Programu ya Ukimwi, Homa ya Ini, Kifua Kikuu na Ukoma Issa Abeid Mussa wakionyesha ujumbe wa madhimisho ya Siku ya Kifua Kikuu Duniani huko Wizara ya Afya wakati wa mkutano wa wandishi wa habari. Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari zaidi ya kinga katika kukabiliana na […]

Loading