ZANZIBAR YAZINDUA MKAKATI WA AFYA YA JAMII
Waziri wa Biashara na Viwanda Balozi Amina Salum Ali akifungua Mkutano wa 12 wa sekta ya afya unaofanyika Hoteli ya Verde Mtoni, Mjini Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imezindua mkakati wa Afya ya Jamii wenye lengo la kuhakikisha huduma za Afya zinaimarika zaidi kuanzia ngazi ya familia. Mkakati huo umezinduliwa na Waziri wa Biashara na […]