ZIARA YA KAMATI YA USTAWI WA JAMII YA BARAZA LA WAWAKILISHI
Mwenyekiti wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Mwanaasha Khamiss Juma akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) mara baada ya Ziara yao ya kuangalia maeneo maalum yaliyotengwa kwa ajili ya Wagonjwa watakaogundulika na Virusi vya Corona (kulia) ni Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohammed. Waziri wa Afya wa Zanzibar Hamad Rashid […]