Siku ya Moyo Duniani

Tarehe 29/9 ya kila mwaka ni siku ya maazimisho ya siku ya moyo duniani, siku ya moyo ni siku ambayo inazungumziwa afya ya moyo pamoja na mogonjwa mbali mbali ya moyo. Fahamu kwa ufupi baadhi ya magonjwa ya moyo na jinsi ya kujikinga na magonjwa hayo: i. Magonjwa yanayoathiri mishipa ya damu ya moyo ii. […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AFANYA ZIARA KITENGO CHA MARADHI YA MOYO HOSPITALI YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya ziara maalum  katika kitengo cha Watoto wanaosumbuliwa na maradhi ya Moyo  Hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar.  Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar inatarajia kujenga Taasisi ya Kitengo cha Maradhi  ya Moyo kata kijiji cha Binguni Wilaya ya Kati ili kupunguza gharama za matibabu […]

Loading