ZANZIBAR YAPATIWA MSAADA WA MASHINE 17 ZA KUSAFISHIA FIGO

Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Ahmad Saleh Ghamdi akimkabidhi Waziri wa Afya Hamad Rashid Muhamed mashine za kusafishia Figo katika sherehe zilizofanyika Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Serikali ya Saudi Arabia imetoa msaada wa mashine 17 za kusafishia Figo (Dialysis Machines) kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar […]

MADAKTARI WAKICHINA WAFANYA UPASUAJI KWA NJIA YA MATUNDU

Kiongozi wa timu ya 28 ya Madaktari kutoka China (kushoto) Dkt. Zhang Zhen akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maendeleo ya matibabu Duniani ambayo hivi sasa yanafanyika pia katika ¬†Hospitali ya Mnazimmoja kupitia madaktari wa China kwa mashirikiano na madaktari wazalendo. Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Madaktari bingwa kutoka China imewataka […]

JENGO KONGWE LA HOSPITALI YA MNAZIMMOJA KUFANYIWA MATENGENEZA YA PAA NA DARI

Jengo kongwe la Hospitali Kuu ya Mnazimmoja linatarajiwa kufanyiwa matengenezo ya paa na dari kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia Jumatano ijayo kutokna na kuvuja kwa muda kirefu. Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake, Msemaji Mkuu wa Hospitali ya Mnazimmoja Hassan Makame alisema kuvuja kwa jengo hilo kumepelekea sehemu kubwa ya dari kuharibika na […]

KITENGO CHA KINYWA NA MENO HOSPITALI YA MNAZI MMOJA CHATOA HUDUMA YA MENO KWA WATOTO WANAOLELEWA NYUMBA YA MAZIZINI.

Mkuu wa Kitengo cha Meno na Kinywa Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Semeni Shaban Mohd akimfanyia uchunguzi wa meno Faiza Josef Lumelezi huko Mazizini. Wizara ya Afya Zanzibar kupitia Kitengo cha Meno Hospitali Kuu ya Mnazi mmoja kimetoa elimu ya utunzaji na uchunguzi wa meno na kinywa kwa watoto wanaolelewa katika nyumba ya watoto Mazizini. […]

Loading