NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI AWAAGA MADAKTARI WA KICHINA ZANZIBAR

Mgeni Rasmi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akitoa hotuba kuhusiana na maradhi ya shingo ya kizazi katika hafla ya kuwaaga wafanyakazi 18 wa kichina waliokuwa katika Mradi wa awamu ya Pili ya Upimaji na utibabu wa Maradhi ya Shingo ya Kizazi hafla iliofanyika Katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AZINDUA CHANJO YA HOMA YA INI KWA WAFANYAKAZI WA AFYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya Hamad Rashid akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali Mnazi mmoja katika Ukumbi wa Hospitali hio mjini Zanzibar.  Waziri wa Afya Hamad Rashid akimkabidhi Muuguzi Zaina Udi Mwinyi Boksi la sindano za Chanjo ya Homa ya Ini ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Chanjo hio […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na  Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani ambayo itafikia kilele chake tarehe 28 Julay 2019 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar  Serikali kupitia Wizara ya Afya Zanzibar imeahidi kushirikiana na sekta mbalimbali za ndani na nje […]

WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR (ZFDA) WAPIGA MARUFUKU CHOKLET NA JUISI FRUIT ZILIZOMO KWENYE VIFUNGASHIO AINA YA BOMBA LA SINDANO

Mkurugenzi Idara yaUdhibiti Usalama wa Chakula (ZFDA) Dr. Khamis Ali Omar akitoa taarifa kwa wandishi wa habari ya marufuku ya uuzaji wa choklet na fruit juisi zilizomo kwenye kifungashio kinachoonekana kama bomba la sindano. Wazazi na Walezi nchini wametakiwa kuepuka kuwanunulia Watoto wao bidhaa aina ya Choklet zilizotengenezwa mfano wa Bomba ya Sindano kutokana na […]

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya ameshauri kuongeza ushirikiano baina ya watendaji wa Taasisi zilizomo ndani ya Wizara.

Mkurugenzi Mkuu Bohari ya Dawa  Zanzibar Zahran Ali Hamad  akizungumza na Washiriki wa Mkutano wa Tathmin  ya Dawa huko  Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar (Kulia) Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya  Halima Salum na Mratibu wa Huduma za Ushaurinasaha na Uchunguzi wa Virusi vya Ukumwi Tatu Bilali . […]

WIZARA YA AFYA YAWATAKA WANANACHI KUPAMBANA NA MALARIA

Mkuu wa Kitengo cha Malaria Zanzibar Abdalla Suleiman akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu kuwashajihisha Wananchi kusafisha mazingira yaliyowazunguka ili kupambana na Malaria huko Afisini kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B”. MKUU wa Kitengo cha Malaria  Zanzibar Abdalla Suleiman amewataka wananchi kusafisha mazingira yao yanayowazunguka ili kupambana na maradhi ya malaria ambayo […]

Loading