ZFDA YATEKETEZA TANI 106 ZA BIDHAA MBALIMBALI ZISIZOFAA KWA MATUMIZI YA BINADAMU

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa ZFDA Dkt. Kahamis Ali Omar akizungumza na Wanahabari hawapo pichani kuhusu zoezi la kuteketeza bidhaa mbali mbali zilizoharibika huko Kibele Mkoa wa kusini Unguja. Jumla ya Tani 106 za Bidhaa mbali mbali ikiwemo Mchele zimeteketezwa na Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDA) baada ya kubainika hazifai kwa matumizi ya […]

Loading