Uzinduzi wa Shahada ya Kwanza kwa Uuguzi na Ukunga

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk,Jamala Taib akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Shahada ya kwanza ya Uuguzi na Ukunga  chuo kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA katika Skuli ya Afya  na Sayansi za Tiba hafla iliofanyika katika ukumbi wa Chuo kikuu cha Taifa Suza kampasi ya Vuga Zanzibar Mkurugenzi Mkuu  Wizara ya Afya Dkt Jamala Adam Taib … Continue reading Uzinduzi wa Shahada ya Kwanza kwa Uuguzi na Ukunga