Picha: Baraza la Maafisa wa afya Zanzibar lakutana na Waziri.

Baraza la Maafisa wa afya Zanzibar limefika ofisini kwa Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar Mh. Ahmed Nassor  Mazrui kwa lengo la kujitambusha kwa Waziri.

Loading