VITUO VINAVYOPOKEA WAGENI VYATAKIWA KUJIANDAA KUKABILIANA NA MARADHI YA MRIPUKO

Mfanyakazi wa Kitengo cha Afya cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Amani Karume akimfanyia uchunguzi wa afya Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed alipotembelea kuangalia matayarisho ya kukabiliana na maradhi ya mripuko. Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed amewataka wafanyakazi wa Uwaja wa ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Amani Karume na […]

Loading