WADAU WA MARADHI YASIYOAMBUKIZA ZANZIBAR WAJADILI HUDUMA BORA ZA MARADHI HAYO

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (ZNCDA) Said Gharib Bilali akizungumza katika Mkutano wa wadau wa kujadili upatikanaji huduma bora za afya kwa wagonjwa wa maradhi hayo Zanzibar Hali ya kiuchumi inayowakabili wagonjwa wengi wa maradhi yasiyoambukiza Zanzibar imetajwa kuwa ni changamoto kubwa katika kupata chakula sahihi cha kupunguza makali ya maradhi hayo. Akitoa […]

Loading