NAIBU WAZIRI WA AFYA ATOA TAARIFA YA UZINDUZI WA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO ZANZIBAR.

Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman akitoa Taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na uzinduzi wa mkakati wa Kupunguza Vifo vya mama na mtoto pamoja na Uzinduzi wa Boti ya kuwasaidia Wazazi watakaopata matatiza katika Visiwa vya Pemba Uzinduzi utakao fanyika 9/10/2019 Zanzibar ,hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja mjini […]

Loading