WIZARA YA AFYA, USTAWI WA JAMII, WAZEE, JINSIA NA WATOTO ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA KUPIMIA CORONA KUTOKA SD BIOSENSOR YA KOREA KUPITIA KAMPUNI YA VITAL SUPPLIES LIMITED

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vital Supplies Limited Bw. Jimmy C. Apson na CEO wa kampuni hiyo Bw. Sunjay.Patadia wakiwa na Viongozi wa Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Zanzibar,alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya kukabidhiwa Vifaa vya Maabara vya Vipimo vya Uchunguzi wa Covid 19, vilivyotolewana Kampuni ya SD.Biosensor ya Korea.

CEO wa Kampuni ya Vital Supplies Limited Tanzania Bw.Sanjay Patadia akizungumza katika hafla ya kukabidhi Vifaa vya Maabara vya Uchunguzi wa Covid 19 kwa Wizara ya Afya Zanzibar, vilivyotolewa na Kampuni ya SD Biosensor kutoka Korea, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

CEO wa Kampuni ya Vital Supplies Limited Bw.Sanjay Patadia akimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, akizungumza na kutowa shukrani kwa Kampuni ya SD.Biosensor ya Korea kwa kutowa msaada huo wa Vifaa vya Maabara vya uchunguzi Covid 19,kwa Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Zanzibar. Mhe Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa Vifaa vya Maabara vya uchunguzi wa Covid 19, vilivyotolewa na Kampuni ya SD Biosensor ya Korea kwa Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto  Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

 MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa Vifaa vya Maabara kwa ajili ya Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Zanzibar, vilivyotolewa na Kampuni ya SD Biosensor ya Korea, kwa ajili ya uchunguzi wa Covid 19, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

 BAADHI ya Madaktari na Maofisa wa Wizara ya Afya Zanzibar wakifutilia hafla ya kukabidhi Vifaa vya Maabara vya uchunguzi wa Covid -19, vilivyotolewa na Kampuni ya SD Biosensor ya Korea, hafla hiyo imefanyika katika ukumbiu wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman akikabidhiwa Vifaa vya Maabara vya uchunguzi wa Covid 19, vilivotolewa na Kampuni ya SD Biosensor ya Korea akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vital Supplies Limited ya Tanzania Bw. Jimmy C Apson. hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Makamu) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na (kulia kwa Mkurugenzi) CEO wa Vital Supplies Limited Bw.Sanjay Patadia wakipika makofi wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee Jinsia na Watoto Zanzibar Dkt. Omar Dadi Shajak akizungumza na kutowa maelezo ya makabidhiano ya Vifaa vya Maabara vya uchunguzi wa Covid 19, vilivyotolena Kampuni ya SD Biosensor ya Korea, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar

Loading