UONGOZI WA WIZARA YA AFYA KUFANYA KIKAO CHA MAJUMUISHO YA KAMATI YA USTAWI WA JAMII YA BARAZA LA WAWAKILISHI

Naibu Waziri wa Afya Harusi  Said  Sleiman akitoa ripoti ya robo ya pili ya utekelezaji wa majukumu ya kazi katika Wizara ya Afya  kwa  Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar  huko katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja .  Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman  amesema  kumebainika kuwepo […]

Loading

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe 7/5/2020

Mwenendo wa ugonjwa wa #COVID19 Zanzibar leo tarehe 7/5/2020 Idadi ya visa vipya 29, yaongezeka kutoka 105 kufikia 134. #COVID19ZNZ #TokomezaCorona

Kwa maelezo zaidi angalia ripoti yetu ya leo katika kurasa yetu ya Covid_19 pamoja na kurasa zetu za Facebook na Twitter.

Jikinge Wakinge na Wengine