UONGOZI WA WIZARA YA AFYA KUFANYA KIKAO CHA MAJUMUISHO YA KAMATI YA USTAWI WA JAMII YA BARAZA LA WAWAKILISHI
Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Sleiman akitoa ripoti ya robo ya pili ya utekelezaji wa majukumu ya kazi katika Wizara ya Afya kwa Wajumbe wa Kamati ya Ustawi wa Jamii ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar huko katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja . Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman amesema kumebainika kuwepo […]