WIZARA YA AFYA KUNUNUA MASHINE YA CTScan Mpya.
Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Jamala Adam Taib (kushoto) akisaini Mkataba wa ununuzi wa Mashine ya City Scan mpya kwa ajili ya Hospitali ya Mnazimmoja, kulia ni Mwakilishi wa Kampuni ya Pacific Diagnostic Ltd ya Dar es Salaam Brian Kamuzora. Hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya Zanzibar. WIZARA ya Afya Zanzibar imetiliana saini […]