TIMU YA MADAKTARI KUTOKA CUBA NA ZANZIBAR KUTOA TAARIFA YA TAFITI ZAO HUKO KATIKA SKULI YA AFYA MBWENI

Timu ya Madaktari kutoka CUBA na Zanzibar waliowasilisha  tafiti mbali mbali za maradhi wakiwa na Viongozi wa Serikali ya Zanzibar (aliyekaa  katikati ) , Waziri wa Afya  Hamad  Rashid(  kushoto) Waziri wa Elimu Riziki Pembe Juma  na Balozi wa CUBA  Profesa… Read moreTIMU YA MADAKTARI KUTOKA CUBA NA ZANZIBAR KUTOA TAARIFA YA TAFITI ZAO HUKO KATIKA SKULI YA AFYA MBWENI

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA SERIKALI YA JAMHURI YA CUBA IMESAINI MKATABA WA UIMARISHAJI HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed na Balozi wa Cuba Professor Lucas Domingo Hernandez  wamesaini Mkataba wa uimarishaji huduma za afya kwa wananchi wa  Zanzibar, Hafla hiyo imefanyika  huko Ofisini kwake Wizara ya Afya Mnazimmoja Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar… Read moreSERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR NA SERIKALI YA JAMHURI YA CUBA IMESAINI MKATABA WA UIMARISHAJI HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR

MKUTANO WA KIKANDA WA KUPAMBANA NA MARADHI YA VIKOPE (TRACHOMA) WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi mradi wa kupambana na maradhi ya vikope Duniani , Paul Emerson, akielezea juu ya juhudidi zinazochukuliwa kuhakikisha maradhi ya vikope yanaondoka duniani kote. Msaidizi Meneja Kitengo cha Maradhi yasiyopewa kipaumbele Salum Abubakar (alieshika maiki) akijibu maswali ya wajumbe wa… Read moreMKUTANO WA KIKANDA WA KUPAMBANA NA MARADHI YA VIKOPE (TRACHOMA) WAFANYIKA ZANZIBAR

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AZINDUA CHANJO YA HOMA YA INI KWA WAFANYAKAZI WA AFYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya Hamad Rashid akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali Mnazi mmoja katika Ukumbi wa Hospitali hio mjini Zanzibar.  Waziri wa Afya Hamad Rashid akimkabidhi Muuguzi Zaina Udi Mwinyi Boksi la… Read moreWAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AZINDUA CHANJO YA HOMA YA INI KWA WAFANYAKAZI WA AFYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.