WIZARA YA AFYA YATILIANA SAINI MKATABA WA UNUNUZI WA DAWA NA BOHARI KUU YA DAWA MSD ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Jamala Taibu kulia akitiliana saini na Meneja wa Kanda ya Dare-es-Salaam Bohari kuu ya Dawa MSD Celestine Haule  mkataba wa makubaliano wa Ununuzi wa Dawa baina ya Wizara ya Afya na Bohari kuu ya Dawa MSD hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. Wizara ya […]

WAFANYAKAZI WA BOHARI KUU YA DAWA ZANZIBAR WAPATIWA MAFUNZO YA LUGHA YA ALAMA.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdulla akitoa hotuba ya uzinduzi  wa Mafunzo ya Lugha ya alama kwa wafanyakazi wa Bohari kuu ya dawa  katika Ukumbi wa Bohari kuu ya Dawa Maruhubi Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Asha Ali Abdalla amempongeza  Mkurugenzi Bohari kuu ya Dawa Zahran Ali Hamad kwa kutekeleza […]

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya ameshauri kuongeza ushirikiano baina ya watendaji wa Taasisi zilizomo ndani ya Wizara.

Mkurugenzi Mkuu Bohari ya Dawa  Zanzibar Zahran Ali Hamad  akizungumza na Washiriki wa Mkutano wa Tathmin  ya Dawa huko  Bohari Kuu ya Dawa Maruhubi nje kidogo ya Mji wa Zanzibar (Kulia) Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya  Halima Salum na Mratibu wa Huduma za Ushaurinasaha na Uchunguzi wa Virusi vya Ukumwi Tatu Bilali . […]

Loading