WIZARA YA AFYA YATILIANA SAINI MKATABA WA UNUNUZI WA DAWA NA BOHARI KUU YA DAWA MSD ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk Jamala Taibu kulia akitiliana saini na Meneja wa Kanda ya Dare-es-Salaam Bohari kuu ya Dawa MSD Celestine Haule¬† mkataba wa makubaliano wa Ununuzi wa Dawa baina ya Wizara ya Afya na Bohari kuu ya Dawa MSD hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar. Wizara ya […]

Loading