TIMU YA MADAKTARI KUTOKA CUBA NA ZANZIBAR KUTOA TAARIFA YA TAFITI ZAO HUKO KATIKA SKULI YA AFYA MBWENI
Timu ya Madaktari kutoka CUBA na Zanzibar waliowasilisha tafiti mbali mbali za maradhi wakiwa na Viongozi wa Serikali ya Zanzibar (aliyekaa katikati ) , Waziri wa Afya Hamad Rashid( kushoto) Waziri wa Elimu Riziki Pembe Juma na Balozi wa CUBA Profesa Lucas Domingo huko Skuli ya Afya Mbweni Zanzibar Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed imesema […]