Uzinduzi wa Mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata Utepe wa Vitabu vya Mpango kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa mpango shirikishi wa kutokomeza Kipindupindu Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Idris Abdulwakil RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alisema serikali ina wajibu […]

Loading