MKUTANO WA KIKANDA WA KUPAMBANA NA MARADHI YA VIKOPE (TRACHOMA) WAFANYIKA ZANZIBAR

Mkurugenzi mradi wa kupambana na maradhi ya vikope Duniani , Paul Emerson, akielezea juu ya juhudidi zinazochukuliwa kuhakikisha maradhi ya vikope yanaondoka duniani kote. Msaidizi Meneja Kitengo cha Maradhi yasiyopewa kipaumbele Salum Abubakar (alieshika maiki) akijibu maswali ya wajumbe wa mkutano huo mara baada ya kuwasilisha mada ya uzoefu wa Zanzibar kama kisiwa katika kupambana […]

Loading