KITENGO CHA LISHE WIZARA YA AFYA ZANZIBAR CHAWATAKA WANAHABARI NA WALIMU WA MADRASA KUSAIDIA KUHAMASISHA JAMII
Afisa Lishe Kitengo cha Lishe Wizara ya Afya Subira Bakari Ame akitoa takwimu za utoaji wa Vitamin A kwa watoto na dawa za minyoo pamoja na mikakati ya kuboresha zoezi la mwezi wa sita katika Mkutano uliofanyika Kitengo Shirikishi cha mama na mtoto Kidongochekundu. Wilaya ya Kaskazini B imetajwa kuwa Wilaya iliyo chini zaidi katika […]