KITENGO CHA MARADHI YASIYOPEWA KIPAUMBELE KUMALIZA MARADHI YA KICHOCHO NA MATENDE IFIKAPO MWAKA 2030 ZANZIBAR

Kaimu Meneja Kitengo cha Maradhi yasiyopewa kipaumbele Salum Mohd Aboubakar akitoa taarifa ya maradhi Kichocho, Matende na Minyoo katika mkutano wa tathmini uliofanyika Kitengo Shirikishi cha Mama na Mtoto Kidongochekundu Zanzibar. Wizara ya Afya Zanzibar kupitia Kitengo cha Maradhi yasiyopewa Kipaumbele (NTD) imepanga kumaliza tatizo la Maradhi ya Kichocho na Matende ifikapo mwaka 2030 iwapo […]

Loading