WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR.
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani ambayo itafikia kilele chake tarehe 28 Julay 2019 hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Zanzibar Serikali kupitia Wizara ya Afya Zanzibar imeahidi kushirikiana na sekta mbalimbali za ndani na nje […]