JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI YAFANYA SEMINA YA KUTENGENEZA MWONGOZO WA PAMOJA WA KUTATHIMINI MATUMIZI YA DAWA ZANZIBAR

Wananchi wametakiwa kuzitumia Dawa vizuri kwa kufuata kikamilifu miongozo wanayopatiwa na Wataalam wa Afya ili kujikinga na madhara yanayoweza kutokea kupitia Dawa hizo. Aidha wameombwa pale yatakapotokea madhara yatokanayo na matumizi ya dawa kuripoti haraka kwa Wataalam wa Afya ili hatua za matibabu ziweze kuchukuliwa. Mkurugenzi wa Bohari kuu ya Dawa Zanzibar Zahran Ali Hamad […]

WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZINDUA BODI YA PILI YA USHAURI YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali Dk. Haji Mwemvura akimkaribisha Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed kuzindua Bodi hiyo katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Mkemia Mkuu Maruhubi. Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashidi Mohamed ameishauri Bodi ya mpya ya Ushauri ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuangalia uwezekanao […]

Loading