Ifahamu Homa ya Ini (Hepatitis)
Kuelekea siku ya #SikuYaHomaYaIniDuniani #WorldHepatitisDay ambayo huazimishwa kila ifikapo tarehe 28/7 ya kila mwaka nimeona ipo haja ya kushea na nyinyi kwa ufupi kuhusu homa ya nini. Nini Homa ya Ini? Homa ya ini ni uvimbe wa ini unaohusishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini. Hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi (kovu) na ugonjwa sugu wa ini. Homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au […]