NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Naibu Waziri wa Afya Harous Said Suleiman akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Uzinduzi wa Zoezi la Utoaji wa Matone ya Vitamin A na Dawa za Minyoo kwa Watoto litakaloanza tarehe 5/12/2019 katika vituo vyote vya Afya Unguja na Pemba hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara hio Mnazi mmoja Zanzibar. Wizara ya Afya Zanzibar […]

WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AZINDUA CHANJO YA HOMA YA INI KWA WAFANYAKAZI WA AFYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya Hamad Rashid akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali Mnazi mmoja katika Ukumbi wa Hospitali hio mjini Zanzibar.  Waziri wa Afya Hamad Rashid akimkabidhi Muuguzi Zaina Udi Mwinyi Boksi la sindano za Chanjo ya Homa ya Ini ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Chanjo hio […]

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR ATOA TAARIFA YA MAADHIMISHO YA WIKI YA CHANJO KWA WAANDISHI WA HABARI.

Wizara ya Afya Zanzibar kupitia Mradi Shirikishi Afya ya Uzazi na Mtoto, Kitengo cha Chanjo kuanzia kesho itaungana na nchi nyengine duniani kuadhimisha wiki ya chanjo Afrika itakayoishia tarehe 30 mwezi huu. Akitoa taarifa ya maadhimisho ya  wiki ya chanjo mbele ya Waandishi wa Habari katika Hospitali ya Mnazimmoja, Naibu Waziri wa Afya Harusi Said […]

Loading