WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID AZINDUA CHANJO YA HOMA YA INI KWA WAFANYAKAZI WA AFYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR.

 Waziri wa Afya Hamad Rashid akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali Mnazi mmoja katika Ukumbi wa Hospitali hio mjini Zanzibar.
 Waziri wa Afya Hamad Rashid akimkabidhi Muuguzi Zaina Udi Mwinyi Boksi la sindano za Chanjo ya Homa ya Ini ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Chanjo hio kwa Wafanyakazi wa Afya Mnazi mmoja Hospita Zanzibar.
Mkurugenzi huduma za uuguzi na Mratibu wa Chanjo ya homa ya Ini Haji Nyonje Pandu akipatiwa Chanjo ya Homa ya Ini na muuguzi Zaina Udi Mwinyi baada ya kuzinduliwa Chanjo hio na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed kwa Wafanyakazi wa Afya Mnazimmoja Hospitali Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja iliozinduliwa na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed Mnazi mmoja Hospitali Zanzibar.
 Kaimu Mkurugenzi mtendaji Hospitali ya Mnazi mmoja Dk,Msafiri Marijan akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja iliozinduliwa na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed Mnazi mmoja Hospitali Zanzibar.
 Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk,Fadhil Mohamed Abdalla akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Chanjo ya Homa ya Ini kwa Wafanyakazi wa Hospitali ya Mnazi mmoja iliozinduliwa na Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed Mnazi mmoja Hospitali Zanzibar.
Loading

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inathibitisha kuwepo kwa kesi mpya nne (4) za maambukizi ya virusi vya corona (Covid 19) zilizopatikana Dar es salaam, Mwanza na Zanzibar na kufanya kuwepo kwa jumla ya kesi 24 zilizoripotiwa tangu kuanza kwa ugonjwa huu nchini. Wagonjwa hawa ni pamoja na wagonjwa wawili (2) ambao wametolewa taarifa na Waziri wa Afya Zanzibar tarehe 5/04/2020. Taarifa zaidi tembelea tovuti yetu pamoja na mitando yetu ya kijamii. Ahsante.