TUSHIRIKIANE KUPAMBANA NA UGONJWA WA KISUKARI – MHE. OTHMAN

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema maradhi yasiyoambukiza yakiwemo magonjwa ya kisukari bado yanabaki kuwa tishio kwa afya ya jamii na dhidi ya maendeleo ya nchi na Taifa kwa ujumla. Mheshimiwa Othman ameyasema hayo leo katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Kisukari Duniani, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnara […]

MHE. HEMED AWASHAURI WANANCHI KUTENGA MUDA KWA AJILI YA KUFANYA MAZOEZI

Wananchi wametakiwa kutenga muda maalum wa kufanya mazoezi ili kupunguza ongezeko la magonjwa  yasiyoambukiza.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla alitoa wito katika hafla ya uzinduzi wa muongozo wa kuushughulisha mwili na mazoezi ya viungo ili kuimarisha afya, iliyofanyika katika Hotel ya Verde Mtoni.Alisema kukosekana kwa muda wa kufanya mazoezi kunasababisha […]

ZIARA YA KUKAGUA HUDUMA ZA AFYA UWANJA WA NDEGE

 Afisa Dhamana huduma za afya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Nassor Hamadi Saidi akitowa maelezo kwa Naibu Mkurugenzi wa Idara ya kinga na Elimu ya Afya, kutoka Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee Jinisia na Watoto,  Dk. Salim Slim katika ziara ya kukagua huduma za afya Uwanja wa Ndege Zanzibar. Afisa […]

MAKABIDHIANO YA MADAWA NA VIFAA TIBA YAFANYIKA ZANZIBAR

Waziri wa Afya Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na Watoto (kulia)akipokea Msaada wa Madawa kutoka kwa Muakilishi wa shirika la GLOBAL LIFE SHARING Hyeksu Kim (kushoto)katika hafla ya makabidhiano iliofanyika katika Ukumbi wa Bohari kuu ya Madawa Maruhubi Zanzibar. Wizara ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa tiba na dawa mbalimbali kutoka Shirika la Global […]

Loading