Siku ya Ukimwi duniani

Kila ifikapo tarehe 1/12 ya kila mwaka dunia nzima huazimisha Siku ya Ukimwi Duniani. Ni siku inayotumiwa na wanaharakati na wakuu wa nchi, kutoa elimu kuhusu namna ya kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi, kupiga vita unyanyapaa na kuhimiza watu kwenda kufanya vipimo ili kufahamu hali zao. Maadhimisho haya yamekuwa yakiadhimishwa tangu mwaka 1988, lengo […]

Loading