MADAKTARI WAKICHINA WAFANYA UPASUAJI KWA NJIA YA MATUNDU
Kiongozi wa timu ya 28 ya Madaktari kutoka China (kushoto) Dkt. Zhang Zhen akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maendeleo ya matibabu Duniani ambayo hivi sasa yanafanyika pia katika Hospitali ya Mnazimmoja kupitia madaktari wa China kwa mashirikiano na madaktari wazalendo. Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Madaktari bingwa kutoka China imewataka […]