CHAMA CHA WATAALAMU WA TIBA KWA VITENDO TANZANZIA YAHAMASISHA UTOAJI HUDUMA KWA VITENDO KWA WATU WENYE ULEMAVU WA VIUNGO ZANZIBAR
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akiwahutubia wazazi na Wataalamu wa tiba kwa vitendo Tanzania katika hafla ya ufunguzi wa Mkuutano Mkuu wa chama cha Wataalamu wa Tiba kwa vitendo Tanzania uliofanyaka Hospitali kuu ya Mnazimmoja Zanzibar. Zaidi ya asilimia 60 ya watu wenye ulemavu Zanzibar wanaishi katika mazingira magumu kutokana na ukosefu wa ajira […]