LIVE: Maadhimisho ya Siku ya Tiba Asili Barani Afrika – 31/8/2021

Leo tarehe 31/8 ni siku ya Maadhimisho ya Siku ya Tiba Asili Barani Afrka. Kwa upande wa Zanzbar Maadhimisho haya yanafanyika katika ukumbi wa Studio Rahaleo, Mgeni Rasmi wa Maadhimsho haya ni Makamo wa Pili wa Rais Zanzibar Mh.Hemed Suleiman. Kuangalia maadhmisho haya live Bonyeza HAPA. Kama ulipitwa na Tukio hili unaweza kuliangalia kwa kubonyeza link hii https://youtu.be/ZeVhr_DzIas

Loading