UFUNGUZI WA KITUO CHA AFYA KIDIMNI, WILAYA YA KATI UNGUJA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na   Balozi wa Korea Nchini  Bw.Kim Sun Pyo (katikati)  wakata utepe kufungua Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa  na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo  ya NOAH   Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People    kutoka Nchini Korea,(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa  na Serikali ya Mapinduzi  kwa kushirikiana na Washirika wa  Maendeleo  NOAH  Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People  kutoka Nchini Korea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja  na Balozi wa Korea Nchini  Bw.Kim Sun Pyo wakifungua pazia kuashiria  Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa  na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo  ya NOAH   Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People    kutoka Nchini Korea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na   Balozi wa Korea Nchini  Bw.Kim Sun Pyo (wa pili kushoto)  Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (wa pili kulia) na Katibu wa baraza la mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said  (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ua ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa  na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo  ya NOAH   Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People    kutoka Nchini Korea
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja alichokifungua leo,ambacho kimejengwa na Washirika maendeleo  NOAH  Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People  kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya  ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja  leo  ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo  NOAH  Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People  kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Viongozi mbali mbali  na Wananchi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya  ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja  leo  ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo  NOAH  Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People  kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mtoto  Abdalla Nassor mwenye mahitaji maalum katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa  na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa  Maendeleo  ya NOAH  Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People  kutoka Nchini Korea
Loading