ZANZIBAR YAPOKEA CHANJO YA COVID- 19 KUTOKA CHINA

Chanjo ya COVID-19 aina ya SINOVAC iliyopokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Abeid A. Karume Zanzibar na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui ikiwa ni msaada kutoka China
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban akifafanua kuhusu chanjo ya COVID-19  aina ya SINOVAC  aliyoipokea kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee , Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui  kutoka kwa Balozi Mdogo wa China Zhang Zhisheng (wa kwanza kulia) hafla iliyofanyika Uwanja wa ndege wa Abeid A. Karume Zanzibar.
Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban (kushoto) akipokea Chanjo COVID-19 ya   aina ya SINOVAC kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Nassor Ahamed Mazrui  kutoka kwa Balozi Mdogo wa China Zhang Zhisheng (kulia)
Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Abdalla Sleiman Ali akijibu maswali ya Waandishi wa habari katika makabidhiano ya Chanjo ya aina COVID-19 ya SINOVAC kutoka kwa serikali ya china hafla iliyofanyika mara baada ya kuwasili Chanjo hiyo na ndege ya Ethopian katika Uwanja wa Ndege wa Abeid A. Karume Zanzibar.
Loading