MAADHIMISHO YA SIKU YA FIGO DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk Fatma Mrisho akitoa hotuba ya Maadhimisho ya Siku ya Figo Duniani yaliofanyika katika Uwanja wa Hospitali Mnazi Mmoja Zanzibar Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Fatma Mrisho amesema hospitali za kisasa zinazojengwa katika maeneo mbali mbali nchini zitakuwa na vitengo maalum vya kusafisha damu kwa wagonjwa wa maradhi […]