WAZIRI WA AFYA HAMAD RASHID MOHAMED AHUTUBIA SIKU YA WACHANGIAJI DAMU DUNIANI MWANAKWEREKWE ZANZIBAR
Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akitoa hotuba katika hafla ya siku ya Wachangia Damu Duniani(WORLD BLOOD DONOR DAY)iliofanyika Uwanja wa Mwanakwerekwe Sokoni mjini Zanzibar. Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed amewataka wananchi waongeze juhudi ya kuchangia damu ili kuokoa maisha kwa wagonjwa aliokuwa hatarini ambao wanahitajika kusaidiwa damu kutokana na matatizo mbali mbali. Hayo […]