NAIBU SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI AWAAGA MADAKTARI WA KICHINA ZANZIBAR

Mgeni Rasmi Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akitoa hotuba kuhusiana na maradhi ya shingo ya kizazi katika hafla ya kuwaaga wafanyakazi 18 wa kichina waliokuwa katika Mradi wa awamu ya Pili ya Upimaji na utibabu wa Maradhi ya Shingo ya Kizazi hafla iliofanyika Katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja […]

UCHUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE WAFANYIKA ZANZIBAR.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Uchunguzi na Utibabu wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake inayofanywa na madaktari Kutoka China Ikiwa ni muendelezo wa awamu ya Pili ya Mradi wa miaka Mitano  uliofanyika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.kulia ni Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman.  Waziri wa […]

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA JIMBO LA XUZHOU LA CHINA

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akizungumza na ujumbe kutoka Mji wa Xuzhou Nchini China uliokuja kufanya tathmini ya Madaktari wa nchi hiyo wanaokuja kufanya kazi Zanzibar Ofisini kwake Mnazimmoja Mjini Zanzibar. Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed ameiomba Jamhuri ya Watu wa China kurejesha utaratibu wa madaktari wa nchi hiyo wanaokuja kufanyakazi […]

Loading