UCHUNGUZI WA AWAMU YA PILI YA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI KWA WANAWAKE WAFANYIKA ZANZIBAR.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed akizungumza na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Uchunguzi na Utibabu wa Saratani ya Shingo ya Kizazi kwa Wanawake inayofanywa na madaktari Kutoka China Ikiwa ni muendelezo wa awamu ya Pili ya Mradi wa miaka Mitano  uliofanyika Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar.kulia ni Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman.  Waziri wa […]

WIZARA YA AFYA YATOA DAWA ZA KULINDA NGOZI YA WATU WENYE UALBINO

Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashid Mohamed akimkabidhi Mkurugenzi wa Jumuiya ya Watu wenye ualbino Zanzibar Ussi Khamis dawa za kulinda ngozi kwa wanachama wa Jumuiya hiyo katika hafla iliyofanyika ofisini kwa waziri Mnazimmoja Waziri wa Afya Zanzibar Hamad Rashidi Mohamed ameitaka Jumuia ya Watu wenye ualbino Zanzibar kufanya uhakiki wa kina kujua taarifa ya […]

WANANCHI WATAKIWA KUFANYA JITIHADA BINAFSI KUJIKINGA NA SARATANI

Kaimu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi ya Saratani Zanzibar Dkt. Msafiri Marijani akitoa taarifa ya ukubwa wa maradhi ya Saratani kwa waandishi wa habari katika maadhimisho ya siku ya Saratani Duniani yaliyofanyika Ofisi ya Jumuiya ya Maradhi yasiyoambukiza Mpendae, (kulia ) Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman. Wananchi wametakiwa kubadili mfumo wa maisha […]

Loading