UTIAJI SAINI YA MAKUBALIANO KATI YA WIZARA YA AFYA NA HOSPITALI YA MOI KUIMARISHA UTOAJI WA HUDUMA YA MIFUPA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Asha Ali Abdallah na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa ya MOI Dkt. Respicious Boniface wakibadilishana hati baada ya kutia saini makubaliano ya wagonjwa wa Mifupa wa Zanzibar kutibiwa Taasisi hiyo. Hafla ya utiaji saini ilifanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja. Katibu Mkuu wa Wizara ya afya Asha Ali Abdalla amesema […]