WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAAHIDI KUENDELEZA TAFITI ZA TIBA ASILIA
Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayassa Salum ally akimpa maelezo Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tianjin cha China Prof. Bian Yuhong katika Mkutano wa siku moja wa utafiti wa Tiba asilia. Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Mnazimmoja Dk. Ali Salum Ali amesema Wizara ya Afya itaendelea kufanya utafiti aina mbali […]