WAKUNGA NA WAUGUZI WATAKIWA KUONGEZA HUDUMA KWA MAMA WAJAWAZITO

Mkuu wa mkoa mjini magharibi ayoub mohd mahmoud amewataka wakunga na wauguzi kuendelea kutoa huduma bora kwa mama wajawazito ili kuhakikisha wanajifungua salama na kupunguza vifo vinavyotokana  na uzazi. Mh. Ayoub alitoa wito huo alipokuwa akizungumza na wakunga na wauguzi katika maadhimisho ya siku ya wakunga duniani ambayo kwa zanzibar yalifanyika uwanja wa mapinduzi square […]

Loading